2 Chronicles 1:16-17

16Farasi wa Solomoni waliletwa kutoka Misri na kutoka Kue.
Yaani Kilikia.
Wafanyabiashara wa mfalme waliwanunua kutoka Kue.
17 bWaliagiza magari kutoka Misri kwa bei ya shekeli 600
Shekeli 600 za fedha ni sawa na kilo 7.
za fedha, na farasi kwa shekeli 150.
Shekeli 150 ni sawa na kilo 1.7.
Pia waliwauza nje kwa wafalme wote wa Wahiti na wa Waaramu.

Copyright information for SwhNEN